Karibu Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii - SSRA

Tovuti hii hutoa habari za Sekta ya Hifadhi ya Jamii nchini Tanzania. SSRA ina jukumu la kulinda na kutetea haki na maslahi ya wanachama wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii, SSRA inasajili Mifuko ya Pensheni, Mifuko ya Hiari ya Pensheni, Meneja Uwekezaji, Watunzaji wa Mifuko na Watawala).

Jinsi ya kusajili Mfuko wa Hifadhi ya Jamii

Andika barua ya maombi na tafadhali ambatisha nakala za vitu vifuatavyo

  1. Mamlaka au Sheria inayoanzisha mfuko mf. Sheria ya Bunge
  2. Hati ya dhamana

Soma Zaidi...

Meneja Uwekezaji

Meneja uwekezaji ni kampuni inayojihusisha na kazi za kusimamia mikataba, fedha na mali nyingine za Mfuko kwaajili ya uwekezaji; kutoa huduma ya ushauri kwaajili ya uwekezaji wa mfuko;...

Soma zaidi...

Watunzaji wa Mifuko

Mtunzaji wa Mfuko ni kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria  na kuteuliwa na Mfuko kwa lengo la kutunza nyaraka za mali za mfuko, kutoa mahesabu ya uwekezaji wa fedha za mfuko, kupokea...

Soma zaidi...

Watawala

Ni kampuni au taasisi iliyoanzanishwa kwa mujibu wa sheria na iliyoteuliwa na Bodi ya Wadhamini kuendesha shughuli za utawala katika Mfuko kulingana na vigezo vilivyo ainishwa katika mkataba...

Soma zaidi...

 

MIFUKO YA HIARI YA PENSHENI

Mfuko wa hiari huanzishwa na kampuni au taasisi kwa lengo la kutoa mafao au huduma zingine ambazo haizitolewi na Mifuko ya lazima. Aidha, wanachama wake...

Soma zaidi...

Mifuko ya Bima ya Afya

Kwa nia njema ya  kuhakikisha huduma za afya bora na nafuu kwa wafanyakazi wa umma, mashirika binafsi na makundi mengine zinapatikana kwa...

Soma zaidi...

Mifuko ya Pensheni

Hifadhi ya Jamii ni mfumo ambao jamii husika hujiwekea kwa lengo la kujikinga dhidi ya majanga yasiyotarajiwa. Majanga hayo ni kama Maradhi, Ulemavu, Kupoteza kazi, Kuacha kazi kwa...

Soma zaidi...

Go to top